Mkurugenzi Mkuu wa radio Victoria FM 90.6 na Mkurugenzi mkuu wa idara ya ufundi akirekebisha mnala ulikuwa na tatizo katika antenner lililotokana na Mvua kubwa zilizonyesha hapo jana
Kwa mujibu wa mkurugenzi wa Radio Victoria fm Bw, Big boss Jan quaas kufikia majira ya saa 11 za jioni hii leo kila kitu kitakuwa sawa, Uongozi wa Radio Victroia FM unaomba radhi kwa usumbufu kwani hatukuwa hewani kwa dakika kadhaa.
Good job Jan. regards Lulu in South Africa
ReplyDelete