GALLERY

   Anaitwa Happy Mohamed ni mmoja ya watangazaji wa Victoria Fm,lakini hapa kashangaa whyyyyyyyyyy?
Wakati mwingine unapokuwa nadhifu inapendeza,anaitwa Augustine Mgendi
 Kijana anaitwa William Bundala au Kijukuu cha Bibi "K" katoka Kahama Fm ya mjni kahama kaja musoma kuonyesha maujanja.
                                  
 Anaitwa Sofia James aliwahi kuwepo kitambo Victoria Fm na sasa amerejea tena
 
         Kutoka kushoto anaitwa Hdja Hassan na kulia yupo Kijukuu cha bibi K
  Mkurugenzi wa kituo cha redi cha Victoriaf Fm akiwa pamoja na Hdja huku kati akiwepo kijukuu
                    Hapa furaha ilipita kipimo wajamen
                             
    Mkurugenzi Radio victoria fm bw, Jan Quass  a.k.a